Ufafanuzi wa nyomvi katika Kiswahili

nyomvi

nominoPlural nyomvi

  • 1

    ndege mnene kidogo kuliko kore mwenye rangi ya manjano, ambaye, agh. hujenga kiota chake kwenye minazi au miti mingine iliyo karibu na watu na huishi kwa makundi.

    kirukanjia, mpasuasanda

Matamshi

nyomvi

/ɲɔmvi/