Ufafanuzi wa nyoosha katika Kiswahili

nyoosha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu kinyooke.

    anjaza, tandaza, rausi

Matamshi

nyoosha

/ɲɔ:∫a/