Ufafanuzi msingi wa nyota katika Kiswahili

: nyota1nyota2nyota3

nyota1

nomino

  • 1

    gimba lenye nuru lililoko angani ambalo halizunguki bali huzungukwa na baadhi ya sayari na nuru yake huonekana zaidi wakati wa usiku.

    nujumu

Matamshi

nyota

/ɲɔta/

Ufafanuzi msingi wa nyota katika Kiswahili

: nyota1nyota2nyota3

nyota2

nomino

Matamshi

nyota

/ɲɔta/

Ufafanuzi msingi wa nyota katika Kiswahili

: nyota1nyota2nyota3

nyota3

nomino

Matamshi

nyota

/ɲɔta/