Ufafanuzi wa nyotoa katika Kiswahili

nyotoa

kitenzi elekezi~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    ondoa sehemu ndogo ya kitu kwa ncha za vidole.

Matamshi

nyotoa

/ɲɔtɔwa/