Ufafanuzi msingi wa nyungunyungu katika Kiswahili

: nyungunyungu1nyungunyungu2

nyungunyungu1

nominoPlural nyungunyungu

  • 1

    mdudu kama mnyoo anayeuma na kuwasha na anakaa katika sehemu nyevunyevu.

Matamshi

nyungunyungu

/ɲunguɲungu/

Ufafanuzi msingi wa nyungunyungu katika Kiswahili

: nyungunyungu1nyungunyungu2

nyungunyungu2

nominoPlural nyungunyungu

  • 1

    ugonjwa wa kuwasha miguuni unaosababishwa na kupita kwenye vidimbwi vya maji, hasa ya mvua.

Matamshi

nyungunyungu

/ɲunguɲungu/