Ufafanuzi wa nzi katika Kiswahili

nzi

nominoPlural nzi

  • 1

    mdudu mwenye mbawa nne, agh. hupatikana mahali penye uchafu au kinyesi na hueneza magonjwa.

Matamshi

nzi

/n nzi/