Ufafanuzi wa oana katika Kiswahili

oana

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    kubaliana kuishi kama mke na mume kwa mujibu wa desturi zinazokubalika.

  • 2

    kubaliana kwa mawazo.

    ‘Mawazo yake yameoana na yangu’

Matamshi

oana

/ɔwana/