Ufafanuzi wa oanisha katika Kiswahili

oanisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    husisha mambo mawili au zaidi.

Matamshi

oanisha

/ɔwani∫a/