Ufafanuzi wa ogelea katika Kiswahili

ogelea

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda juu ya maji bila ya kuzama, agh. kwa kupiga mikambi.

Matamshi

ogelea

/ɔgɛlɛja/