Ufafanuzi wa oka katika Kiswahili

oka

kitenzi elekezi

  • 1

    ivisha kitu k.v. mkate, keki au matofali ndani ya tanuri.

Matamshi

oka

/ɔka/