Ufafanuzi wa okoka katika Kiswahili

okoka

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    epuka kwa bahati kufanya au kupatwa na jambo.

    ‘Safari hii nimeokoka’

  • 2

    jiondoa katika hatari za kiroho; jisalimisha kwa Mungu.

Matamshi

okoka

/ɔkɔka/