Ufafanuzi wa omo katika Kiswahili

omo

nominoPlural omo

  • 1

    sehemu ya mbele ya chombo k.v. cha baharini.

    gubeti, njeli

Asili

Kar

Matamshi

omo

/ɔmɔ/