Ufafanuzi msingi wa ongoa katika Kiswahili

: ongoa1ongoa2

ongoa1

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    fanya kuwa na tabia nyofu.

    hidi

Matamshi

ongoa

/ɔngɔwa/

Ufafanuzi msingi wa ongoa katika Kiswahili

: ongoa1ongoa2

ongoa2

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    tuliza au nyamazisha mtoto kulia au laza mtoto, agh. kwa kumwimbia.

    bembeleza

Matamshi

ongoa

/ɔngɔwa/