Ufafanuzi wa ongoza katika Kiswahili

ongoza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    kuwa mbele ya mtu au kikundi cha watu ili kuelekeza njia.

    sabiki, diriki, tangulia, takadamu

  • 2

    kuwa mkuu au msimamizi wa kazi au shughuli nyingine yoyote; kuwa kiongozi.

Matamshi

ongoza

/ɔngɔza/