Ufafanuzi msingi wa onyesha katika Kiswahili

: onyesha1onyesha2

onyesha1

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~wa, ~ewa

  • 1

    sababisha kuonekana.

    onesha

Matamshi

onyesha

/ɔɲɛ∫a/

Ufafanuzi msingi wa onyesha katika Kiswahili

: onyesha1onyesha2

onyesha2

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~wa, ~ewa

  • 1

    "adabisha"

Matamshi

onyesha

/ɔɲɛ∫a/