Ufafanuzi wa othografia katika Kiswahili

othografia, otografia

nomino

  • 1

    Sarufi
    mfumo wa tahajia katika lugha.

  • 2

    mfumo wa maandishi unaotumiwa katika lugha fulani unaoweza kuwa wa alama au michoro.

Asili

Kng

Matamshi

othografia

/ɔθɔgrafija/