Ufafanuzi wa ovaroli katika Kiswahili

ovaroli

nominoPlural movaroli

  • 1

    vazi livaliwalo juu ya nguo za kawaida ili kukinga uchafu wakati wa kufanya kazi.

    bwelasuti, surupwenye

Asili

Kng

Matamshi

ovaroli

/ɔvarɔli/