Ufafanuzi wa ozoni katika Kiswahili

ozoni

nominoPlural ozoni

  • 1

    gesi ya sumu ya buluu ya oksijeni yenye harufu kali.

  • 2

    hewa safi na mwanana ya pwani au karibu na bahari.

Matamshi

ozoni

/ɔzɔni/