Ufafanuzi msingi wa pacha katika Kiswahili

: pacha1pacha2

pacha1

nominoPlural pacha

 • 1

  watoto waliozaliwa kutokana na mimba moja.

  ‘Amezaa pacha’
  ‘Watoto hawa ni pacha’

Matamshi

pacha

/patʃa/

Ufafanuzi msingi wa pacha katika Kiswahili

: pacha1pacha2

pacha2

kivumishi

 • 1

  -enye kuambatana na kingine.

  ‘Vidole pacha’
  ‘Ndizi pacha’

Matamshi

pacha

/patʃa/