Ufafanuzi msingi wa paka katika Kiswahili

: paka1paka2

paka1

nomino

 • 1

  mnyama mdogo jamii ya chui anayefugwa nyumbani na anayependa kula panya.

  nyau

Matamshi

paka

/paka/

Ufafanuzi msingi wa paka katika Kiswahili

: paka1paka2

paka2

kitenzi elekezi

 • 1

  tia au eneza kitu cha majimaji au laini juu ya kitu kingine.

  ‘Paka rangi’
  ‘Paka dawa’
  deheni

Matamshi

paka

/paka/