Ufafanuzi msingi wa pakanga katika Kiswahili

: pakanga1pakanga2

pakanga1

nominoPlural pakanga

  • 1

    mchanganyiko wa vijiti vikavu na majani ya aina fulani yanayosagwa pamoja na dawa nyinginezo ili kutengeneza liwa ambayo hutumiwa kwa kusingia.

Matamshi

pakanga

/pakanga/

Ufafanuzi msingi wa pakanga katika Kiswahili

: pakanga1pakanga2

pakanga2

nominoPlural pakanga

  • 1

    uchungu anaopata mwanamke pindi anapokaribia kujifungua.

Matamshi

pakanga

/pakanga/