Ufafanuzi wa pakaza katika Kiswahili

pakaza

kitenzi elekezi

  • 1

    eneza ovyoovyo kitu cha majimaji au laini juu ya kingine.

Matamshi

pakaza

/pakaza/