Ufafanuzi wa papata katika Kiswahili

papata

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    piga, agh. kwa kofi.

    ‘Amempapata makofi’

Matamshi

papata

/papata/