Ufafanuzi wa parapanda katika Kiswahili

parapanda

nomino

  • 1

    pembe kubwa na ndefu iliyotobolewa tundu katika ncha yake, inayopigwa katika ngoma au kutoa habari.

    baragumu