Ufafanuzi wa pasa katika Kiswahili

pasa

kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    kuwa na wajibu wa.

    ‘Katika nchi huru kila mtu yampasa afanye kazi’
    juzu, husu, lazimu

Matamshi

pasa

/pasa/