Ufafanuzi wa pashia katika Kiswahili

pashia

kitenzi elekezi

  • 1

    unganisha vitu viwili vilivyotengana k.v. kili, mbao, n.k..

  • 2

    unga kitu ili kiweze kufaa kwa muda.

    shaliki

Matamshi

pashia

/pa∫ia/