Ufafanuzi wa patena katika Kiswahili

patena

nomino

  • 1

    kisahani maalumu kinachotumiwa kanisani kuwekea Mkate Mtakatifu.

Asili

Kfa

Matamshi

patena

/patɛna/