Ufafanuzi wa patwa kwa jua katika Kiswahili

patwa kwa jua

  • 1

    tukio la mwanga wa jua kuzuiwa na mwezi usiangukie dunia, wakati jua, dunia na mwezi viko katika mstari mmoja ulionyoka, mwezi ukiwa katikati ya jua na dunia.