Ufafanuzi wa payuka katika Kiswahili

payuka

kitenzi elekezi

  • 1

    sema mambo ya upuuzi; sema maneno yasiyo na maana.

    payapaya, bwata, boboka, ropoka, bubujika, bwabwaja

Matamshi

payuka

/pajuka/