Ufafanuzi wa peasi katika Kiswahili

peasi

nominoPlural mapeasi

  • 1

    tunda lenye umbo la pia lenye nyama nyeupe yenye majimaji.

Asili

Kng

Matamshi

peasi

/pɛjasi/