Ufafanuzi wa penda katika Kiswahili

penda

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~eza, ~wa

  • 1

    kata shauri kufanya jambo kwa kuridhika mwenyewe.

Matamshi

penda

/pɛnda/