Ufafanuzi msingi wa pengine katika Kiswahili

: pengine1pengine2

pengine1

kielezi

 • 1

  ‘Wageni hawajawasili bado, pengine wamekosa usafiri wa leo’
  asaa
  , → amba
  , → ikiwa
  , → labda
  , and → huenda

Matamshi

pengine

/pɛnginɛ/

Ufafanuzi msingi wa pengine katika Kiswahili

: pengine1pengine2

pengine2

kielezi

 • 1

  sehemu nyingine.

  ‘Hapa hawauzi mafuta, jaribu pengine’

Matamshi

pengine

/pɛnginɛ/