Ufafanuzi wa Pentekoste katika Kiswahili

Pentekoste

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    sikukuu ya Ukristo ya kuadhimisha kushuka kwa Roho Mtakatifu juu ya mitume na watu wake.

  • 2

    Kidini
    madhehebu mojawapo ya dini ya Ukristo.

Asili

Kng

Matamshi

Pentekoste

/pɛntɛkɔstɛ/