Ufafanuzi wa pepopunda katika Kiswahili

pepopunda

nomino

  • 1

    ugonjwa unaosababishwa na bakteria wanaopatikana katika kutu, vumbi au choo cha mnyama na kuingia kwenye jeraha.

Matamshi

pepopunda

/pɛpɔpunda/