Ufafanuzi wa perepesa katika Kiswahili

perepesa

kitenzi sielekezi~ea, ~eka

  • 1

    tazama huku na huku k.v. mtu anavyofanya wakati anapotaka kuvuka barabara yenye magari.

Matamshi

perepesa

/pɛrɛpɛsa/