Ufafanuzi wa piapia katika Kiswahili

piapia

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    enda huko na huko bila ya kutulia.

    shughulika, riaria, kiakia

Matamshi

piapia

/pijapija/