Ufafanuzi wa Piga magoti katika Kiswahili

Piga magoti

msemo

  • 1

    weka magoti chini k.v. wakati wa kuabudu au kama alama ya unyenyekevu; salimu amri; omba msamaha.