Ufafanuzi wa Piga makofi katika Kiswahili

Piga makofi

  • 1

    piga mtu mapigo kadhaa ya upande wa ndani wa kiganja; kibao, ipi.

    ‘Askari alimpiga mwizi makofi kabla ya kumtia pingu’