Ufafanuzi wa piga mbizi katika Kiswahili

piga mbizi

msemo

  • 1

    zama chini ya maji k.v. baharini au mtoni.

Ufafanuzi wa Piga mbizi katika Kiswahili

Piga mbizi

msemo

  • 1

    jizamisha majini; ogelea hali umefunikwa na maji.