Ufafanuzi wa piku katika Kiswahili

piku

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    vunja nguvu karata fulani kwa kutoa karata nyingine kama hiyo lakini yenye thamani kubwa zaidi.

    ‘Piku ng’anda ya tano kwa ya sita’

  • 2

    zidi kingine au mwingine kwa hali k.v. ukubwa au uzuri.

Matamshi

piku

/piku/