Ufafanuzi wa pinduka katika Kiswahili

pinduka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika

  • 1

    anguka au bingirika k.v. gari linalopata ajali na kuanguka.

Matamshi

pinduka

/pinduka/