Ufafanuzi msingi wa pingiti katika Kiswahili

: pingiti1pingiti2

pingiti1

nomino

  • 1

    sehemu ya mwili iliyo katikati ya viungo.

    ‘Pingiti la binadamu’

Matamshi

pingiti

/pingiti/

Ufafanuzi msingi wa pingiti katika Kiswahili

: pingiti1pingiti2

pingiti2

nomino

kishairi
  • 1

    kishairi shairi lisilokuwa na vina wala mizani.

    guni

Matamshi

pingiti

/pingiti/