Ufafanuzi wa pitisha katika Kiswahili

pitisha

kitenzi elekezi

  • 1

    ruhusu kitu kipite kutoka sehemu moja hadi nyingine.

    idhinisha

  • 2

    fanya kitu kipite sehemu fulani.

    ‘Amepitisha bomba shambani mwangu’

Matamshi

pitisha

/pitiāˆ«a/