Ufafanuzi wa pojo katika Kiswahili

pojo

nominoPlural pojo

  • 1

    nafaka ya kijani ya jamii ya kunde lakini ndogo zaidi.

    choroko

Matamshi

pojo

/pɔʄɔ/