Ufafanuzi wa pokezana katika Kiswahili

pokezana

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kazi fulani kwa zamu, mmoja baada ya mwingine.

  • 2

    achiana.

Matamshi

pokezana

/pɔkɛzana/