Ufafanuzi msingi wa polisi katika Kiswahili

: polisi1polisi2

polisi1

nominoPlural polisi

  • 1

    idara maalumu inayoshughulikia ulinzi wa sheria za nchi na usalama.

    ‘Kituo cha polisi’

Asili

Kng

Matamshi

polisi

/pɔlisi/

Ufafanuzi msingi wa polisi katika Kiswahili

: polisi1polisi2

polisi2

nominoPlural polisi

  • 1

    askari mwenye dhamana ya kuona kuwa sheria na usalama wa nchi hauvunjwi.

Asili

Kng

Matamshi

polisi

/pɔlisi/