Ufafanuzi wa ponyoka katika Kiswahili

ponyoka

kitenzi sielekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  toroka kutoka kwenye ulinzi.

  choropoka

 • 2

  anguka kutoka kwenye mshiko, agh. wa kitu au mtu.

  ‘Nilikuwa nimeshika kikombe mara kikaniponyoka’
  ‘Mwizi amemponyoka askari’
  dondoka, agaa, churupuka, teleza, chopoka

Matamshi

ponyoka

/pɔɲɔka/