Ufafanuzi msingi wa poromoko katika Kiswahili

: poromoko1poromoko2

poromoko1

nominoPlural maporomoko

  • 1

    anguko la mkusanyiko wa vitu kwa wingi na kwa mfululizo kutoka juu.

Matamshi

poromoko

/pɔrɔmɔkɔ/

Ufafanuzi msingi wa poromoko katika Kiswahili

: poromoko1poromoko2

poromoko2

nominoPlural maporomoko

  • 1

    mteremko mkali, agh. katika kingo za mto au bonde.

    gema, genge, korongo

Matamshi

poromoko

/pɔrɔmɔkɔ/