Ufafanuzi wa pudini katika Kiswahili

pudini

nominoPlural pudini

  • 1

    chakula kitamu kinacholiwa baada ya mlo mkuu.

Asili

Kng

Matamshi

pudini

/pudini/