Ufafanuzi wa punga hewa katika Kiswahili

punga hewa

msemo

  • 1

    toka nje ili kujipumzisha.

Ufafanuzi wa Punga hewa katika Kiswahili

Punga hewa

msemo

  • 1

    pumzika.